Habari kwa picha: 19-25 Novemba, 2018

Chanzo cha picha, Soe Zeya Tun/REUTERS

Maelezo ya picha, Mtoto akicheza juu ya ukuta wa kioo nchini Thailand

Chanzo cha picha, Mark Metcalfe/Getty Images

Maelezo ya picha, Msanii Nick Cave, kutoka Australia akiwa katika maonesho ya kazi zake

Chanzo cha picha, RIZWAN TABASSUM/AFP

Maelezo ya picha, Watoto wa kike kutoka Pakistan wakisheherekea siku kuu ya Maulid

Chanzo cha picha, Shamil Zhumatov/REUTERS

Maelezo ya picha, Kira, Sokwe mwenye miaka 23 akiwa amembeba mtoto wake mchanga.

Chanzo cha picha, CARL DE SOUZA/AFP

Maelezo ya picha, Mfanyakazi akichukua vitabu vilivyopo katika maktaba ya kifalme iliyopo Brazil tangu , kundi ya wahamiaji Kirendo waliianzisha mwaka 1837 na maktaba hiyo ilifunguliwa kwa umma mwaka 1900.

Chanzo cha picha, Hannah McKay/REUTERS

Maelezo ya picha, Mtoto wa miaka sita akiwa amejila mbele ya polisi katika maandamano ambayo katika mpaka wa Mexico na Marekani.

Chanzo cha picha, TOMS KALNINS/EPA

Chanzo cha picha, Jane Barlow/PA

Chanzo cha picha, Anushree Fadnavis/REUTERS

Maelezo ya picha, New Delhi, India.

Chanzo cha picha, ERIK S LESSER/EPA

Picha zote zina hakimiliki