BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Israel yaua wanahabari watatu katika shambulio la anga nchini Lebanon
Israel imekuwa ikituhumiwa kulenga wanahabari nchini Lebanon tangu vita ya Iran kuanza. Wiki iliyopita, mtangazaji maarufu wa Al Manar, Mohammad Sherri, na mkewe waliuawa katika shambulio lingine dhidi ya wanahabari.
Waasi wa Houthi kujiunga vita ya Iran ina maana gani kwa dunia?
Waasi wa Houthi kutoka Yemen ni miongoni mwa washirika wakuu wa Iran katika ukanda wa Mashariki ya Kati, na kwa muda mrefu wamekuwa wakijihusisha na mashambulizi ya hapa na pale dhidi ya Israel tangu vita vya Gaza vilipoanza Oktoba 2023.
Kwa nini UAE inalipa gharama kubwa zaidi kwa vita vya Iran?
Wakati vita vya Iran vikiingia katika wiki yake ya nne, Umoja wa Falme za Kiarabu umeibuka kama shabaha ya wazi ya Tehran.
Artemis II: Safari hatari na kihistoria, binadamu wanarejea Mwezini baada ya miaka 50
Wanaanga wanne watafanya safari ya zaidi ya maili nusu milioni na kurudi nyumbani katika misheni iliyojaa mshangao, lakini pia hatari.
Vita vya Marekani, Israel na Iran: Jinsi nchi za Afrika zinavyopambana na uhaba wa mafuta
Kuendelea kwa Iran kuzuia meli katika Mlango-Bahari wa Hormuz kumevuruga usambazaji wa mafuta, na akiba ya nchi nyingi za Afrika iko hatarini kuisha ifikapo katikati ya Aprili.
Tetesi za soka Ulaya: Arsenal, City, United na Chelsea zamgombea Anderson
Arsenal wanachunguza uwezekano wa kumsajili Elliot Anderson, vilabu kadhaa vya Ligi Kuu vinawania saini ya Aurelien Tchouameni, Manchester United wanamwania Adam Wharton.
Achana na mafuta: Zijue bidhaa nyingine zinazoathirika kwa kufungwa Mlango wa Bahari wa Hormuz
Petroli tayari imepanda na bili za mafuta, gesi na umeme ndani ya Uingereza zinakaribia kuongezeka. Bidhaa zipi nyingine zitaathirika?
Silaha hatari zinazotumiwa na Marekani dhidi ya Iran
Katika saa 48 za mwanzo, mashambulizi hayo yalitekelezwa kwa nguvu kubwa ya anga, yakihusisha ndege za kivita, makombora ya masafa marefu pamoja na mifumo ya kisasa ya kijasusi.
Mazungumzo ya amani ya Marekani na Iran yamweka Netanyahu njia panda
US President Donald Trump has pointed to diplomatic talks to end the offensive - but Israel might not yet be ready to walk away.
Uvamizi wa Israel nchini Lebanon: Operesheni sita za kijeshi
Katika miongo kadhaa ya makabiliano kati ya Israel na Hezbollah, Israel imewahi kufanya operesheni kubwa za kijeshi ndani ya Lebanon kwa angalau mara sita.
Silaha iliyoundwa na Iran inavyobadilisha vita vya anga duniani
Jeshi la Iran lilikuwa limeathiriwa na vita vya miaka mingi, na vikwazo vya Marekani vilimaanisha kwamba hakukuwa na njia rahisi ya kujenga upya jeshi lenye nguvu.
WARIDI WA BBC: 'Namlea mwanangu anayenitegemea saa 24 bila kupumzika'
Mwezi mzima wa Machi unatambulika kuwa wa kitaifa katika uhamasishaji wa tatizo la kupooza kwa ubongo.
Sikiza / Tazama
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Masharti matano ya Trump yatakayoamua hatima ya Iran
Waziri wa Uchumi wa Israel, Nir Barkat, aiambia BBC kwamba inaonekana si kwamba Iran itakubali mpango wa hoja 15 wa Marekani, akisema ni ‘mzuri kwenye karatasi’ lakini unahitaji dhamana ili utekelezwe”.
Hatima ya mazungumzo ya Marekani na Iran katika kivuli cha kutoaminiana
Kutoelewana kuko wazi. Washington inazungumzia maendeleo katika mazungumzo; Tehran inakataa kabisa. Lakini hili halihusu tu kutokubaliana; pia inaonyesha kutoaminiana.
Iran yakataa mpango wa amani wa Marekani huku ikitoa masharti matano ya kumaliza vita
Maafisa wa Iran wamekuwa wakisema mara kwa mara wanataka kukomeshwa kabisa kwa vita, na sio tu kusitishwa kwa mapigano.
Nani anataka nini na kwa nini katika mazungumzo ya Marekani na Iran?
Kuna mawasiliano yasiyo ya moja kwa moja kati ya pande hizo mbili, lakini makubaliano bado yanaweza kuwa mbali kufikiwa.
Kenya inavyosogea kwenye siasa za maneno ya nguoni
Maneno yanayozungumzwa na wanasiasa kwao yanaweza kuwa jukwaa la kisiasa tu lakini athari yake kwa umma ni zaidi ya hilo.
Aliko Dangote aongoza orodha ya watu matajiri zaidi Afrika 2026
Klabu ya mabilionea barani Afrika inazidi kutajirika huku masoko ya hisa yakipanda na sarafu zikitengemaa katika bara zima, utajiri wa viongozi wakuu wa biashara katika eneo hilo umeongezeka.
Viongozi wakuu 20 wa Iran waliouawa ndani ya siku 20 za vita
Na ndani ya siku 20 tu za vita, idadi kubwa ya maafisa wa kijeshi, usalama na kisiasa wameuawa katika mashambulizi ya mfululizo ndani na nje ya Iran. Orodha hii inaangalia vigogo wakubwa
Tommy Thompson: Aligundua dhahabu tani 14 kwenye meli iliyozama baharini
Watu 425 walipoteza maisha yao katika ajali hiyo.
Makadirio mabaya ya Donald Trump kuhusu vita vya Iran
Aidha Trump hakutilia maanani kuwa kupanda kwa bei ya mafuta duniani, kutaiongezea Urusi mapato na kuisaidia kuimarika kiuchumi na katika vita dhidi ya Ukraine.
Wapiganaji wa Kikurdi: Kifahamu kikosi cha siri cha jeshi la wanawake pekee
Huku mashambulizi ya Marekani na Israel yakiendelea, uvumi unaongezeka kwamba makundi ya Wakurdi wa Iran walio na silaha walioko nchini Iraq hivi karibuni huenda wakavuka mpaka na kuingia vitani dhidi ya jamhuri ya Kiislamu. BBC imetembelea kundi moja la wapiganaji wa Kikurdi - kikosi cha wanawake wote.
Ajali 7 za ndege mbaya zaidi kuwahi kutokea duniani
Ajali hizi zilizoteketeza uhai wa maelfu ya watu zimechangiwa na sababu mbalimbali, zikiwemo za kiufundi, kugongana na hata kushambuliwa
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 30 Machi 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 27 Machi 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 27 Machi 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 27 Machi 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani






























































