Moja kwa moja, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupigia kura rasimu ya azimio kuhusu Mlango- Bahari wa Hormuz

China, ambayo ina kura ya turufu, inapinga mpango wowote wa kutumia nguvu.