Maisha ya Kobe Bryant katika picha

Chanzo cha picha, Robyn Beck / AFP

Mchezaji wa mpira wa kikapu nchini Marekani, Kobe Bryant, 41, na binti yake Gianna, 13, walifariki katika ajali ya helikopta huko California. Na abiria wengine saba walifariki katika ajali hiyo.

Bryant ni bingwa wa mashindano ya NBA mara tano ,

Mchezaji huyo anaelezewa kuwa miongoni wa nyota katika historia ya mpira wa kikapu.

Chanzo cha picha, Vince Bucci / Getty images

Maelezo ya picha, Bryant alicheza kwenye timu ya Los Angeles Lakers kwa miaka 20 kabla hajastaafu kucheza mwaka 2016.Hapo ilikuwa mwaka 2001

Chanzo cha picha, Gabriel Bouys / AFP

Chanzo cha picha, Emmanuel Dunand / AFP

Chanzo cha picha, Jim Watson / AFP

Maelezo ya picha, Former US President Barack Obama posed with Bryant (centre) and Derek Fisher during an event with the 2008-2009 NBA Champions in 2010.

Chanzo cha picha, Lucy Nicholson / Reuters

Chanzo cha picha, Larry W. Smith / EPA

Chanzo cha picha, Christian Petersen / Getty Images

Chanzo cha picha, Michael Nelson / EPA

Chanzo cha picha, Mike Nelson / EPA

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Mwaka 2018, Bryant alishinda tuzo ya Oscar baada ya kuchaguliwa na filamu yake fupi ya Dear Basketball.Picha inamuonyesha na mke wake Vanessa Laine

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Bryant akiwa na binti yake aliyefariki naye Gianna

Chanzo cha picha, Getty Images