Kwa picha, mkasa wa bwawa Brazil

Bwawa la maji limevunja kingo zake kusini mashariki mwa Brazil na kusababisha mauti na uharibifu mkubwa baada ya maji yaliyochanganyikana na matope kusomba kila kitu ikiwemo barabara na nyumba za watu

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Watu wengi wanahofiwa kufariki baada ya bwala la maji kuvunja kingo zake kusini mashariki mwa Brazil.

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Gari yalisombwa na maji

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Maji yaliyochanganyikana na matope yalisomba mkahawa wa chakula uliyokuwa na mamia ya wafanyikaziworkers were eating

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Bwawa hilo linamilikiwa na kampuni kubwa ya kuchimba madini ya Vale nchini Brazil

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Maafisa wa uokozi wakijaribu kutafuta manusura wa mkasa huo

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Maafisa wanahofia maji hayo yanaweza kufikia watu wanaoishi karibu namji wa Brumadinho

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha, Rais Jair Bolsonaro pamoja na maafisa wengine wakuu serikalini wanatarajiwa kuzuru eneo la mkasa

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Makasa huu unakuja miaka mitatu baada ya mwingine kama huo uliyotajwa kuwa janga la kimazingira kutokea jimbo la Minas Gerais, na kuwaua watu 19

Picha zote zinahaki miliki kama zilivyonakiliwa.