Mvua kubwa yasababisha uharibifu Rwanda
Mvua ambazo hazikutarajiwa zimeshuhudiwa katika mji wa Kigali nchini Rwanda na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali na miundo msingi.
Idadi ya watu waliofariki bado haujulikani lakini kuna hofu kuwa huenda hadi watu watano wameaga dunia na wengine kadha kuachwa bila makao.
Takriban nyumba 800, zikiwemo shule, makaazi ya watu pamoja na barabara kadha vimesombwa. Mvua kubwa yasababisha uharibifu Rwanda
Habari kuu
Gumzo mitandaoni
Zinazovuma zaidi
Haipatikani tena
{{rankTranslation}}