Moja kwa moja, Marekani haitaondoa kizuizi cha kijeshi Hormuz hadi makubaliano na Iran yafikiwe - Trump

Kauli hiyo imekuja wakati ambapo bado kuna sintofahamu kuhusu uwezekano wa kufanyika kwa mazungumzo mapya ya kumaliza vita kati ya pande hizo mbili huko Pakistan.