Kwa Picha: Maporomoko ya udongo California

Picha kutoka California baada ya kutokae maporomoko ya udongo

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Waokoaji bado wanaendelea kuwatafuta manusura baada ya maporomoko mabaya ya ardhi kuharibu nyumba huko Montecito, kusini mwa California

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Ukuta wa udongo baada ya mvua kubwa kusomba mji mdogo

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Montecito umejaa takataka ukiwa katika hali ambayo wakoaji wanasema kuwa ni hatari

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Watu kadhaa wameolewa hadi sasa na zaidi ya 160 wamepelekwa hospitalini

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Mvua ya kwanza baada ya miezi kadhaa ilinyesha eneo lililokuwa likumbwa na moto wa nyika

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Katika sehemu zingine matope yalikuwa ni makubwa na polisi walisema kuwa eneo hilo lilionekana kama la vita

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Zaidi ya kilomita 48 za barabara zimefungwa na maeneo mengine bado hayapitiki

Chanzo cha picha, EPA

Maelezo ya picha, Maelfu walikimbia makwo wengine mara ya pili katika miezi miwili baada ya moto

Chanzo cha picha, AFP

Maelezo ya picha, Maporoko hayo ya udongo yanatokea wakati wa majanga yanayotokana na mabadiliko ya hali ya hewa nchini Marekania