Kwa Picha: Maisha ya Clinton na Trump

Wagombea wa urais Hillary Clinton na Donald Trump katika picha za maisha yao

Chanzo cha picha, Alamy

Maelezo ya picha, Hillary Clinton alizaliwa na kukulia katika eneo la Chicago; Donald Trump alikulia Queens, New York

Chanzo cha picha, Maine Township HS District 207/Trump Campaign

Maelezo ya picha, Alikuwa katika kilabu cha kikundi cha mdahalo katika shule ya sekondari ya manispaa huku Trump akisoma katika shule ya wanajeshi (military academy ) mjini New York, ambako alianza kuwa kuwa becoming captain katika shule hiyo

Chanzo cha picha, Clinton campaign/AP

Maelezo ya picha, Mnamo mwaka 1995, Clinton akitoa hotuba kuhusu haki za wanawake kama mke wa rais mjini Beijing . Katika mwaka huo huo, Trump alikuwa katika ofisi ya soko la hisa la New York linalofahamika kama Trump Plaza Casino lililofahamika

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Clinton akigombea kwa mara ya kwanza mwaka 2008 - lakini alishindwa na Barack Obama katika uchaguzi wa awali wa Democratic : Donald Trump akiongoza kupindi cha televisheni - The Apprentice alichokiendesha kwa zaidi ya miaka 10

Chanzo cha picha, AP/Getty Images

Maelezo ya picha, Mnamo mwaka 2011, Waziri wa Mashauri ya Kigeni akisoma ujumbe katika ndege alipokuwa akielekea Libya, picha iliyopata umaarufu , Trump akisikiliza watu mashuhuri wakimkejeli katika tukio la kukusanya misaada ya kijamii

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Wakati wa majira ya joto 2016: Clinton na Trumpwakikubali uteuzi wa vyama vyao kuwa rais.