Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Wavuvi Mwanza watumia taa za nishati ya jua kulinda mazingira
Katika jitihada za kulinda mazingira ziwani baadhi ya wavuvi nchini Tanzania wameanza kutumia taa za nishati ya jua katika uvuvi, hapo awali wavuvi wengi walikuwa wakitumia taa za karabai ambazo zinatumia Mafuta ya taa.
Kwa sasa taa hizo zimezuiwa na serikali kwani zilikuwa chanzo kikubwa cha uchafuzi wa mazingira ya ziwa.
David Nkya katembelea jijini mwanza nakuona ufanisi wa taa hizo.